Kiwanja kinauzwa kibada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja kinauzwa kibada

Discussion in 'Matangazo madogo' started by KASSON, Nov 21, 2011.

 1. KASSON

  KASSON Senior Member

  #1
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kiwanja kinauzwa,Kipo Kibada Dar es salaam,ukubwa robo Heka,Bei ni 3million mazungumzo yapo taratibu zote za mauziano zitafuata kwa kusimamiwa na mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa.Call 0767405200
   
 2. S

  Speedo Member

  #2
  Nov 24, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 13
  Hi Kasson,
  Kibada sehemu ipi?
  Sio sehemu iliyopimwa na Wizara? yaani eneo la mradi.
   
 3. KASSON

  KASSON Senior Member

  #3
  Dec 3, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hapana sio sehemu ya mradi,ni kama mita 300 kutoka soko la zamani la kibada
   
 4. geofreyt

  geofreyt Member

  #4
  Dec 12, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiki kiwanja kilishapata mteja??nijuze mapema tufanye biashara!!
   
 5. KASSON

  KASSON Senior Member

  #5
  Dec 15, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Bado kipo
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145

  Kibada ya aliko nunua bush?
   
 7. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #7
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,356
  Trophy Points: 280
  Robo heka ni sawa na Sqr Mtr ngapi??
  Na ni umbali gani kutoka barabara kuu ya Mjimwema- Kongowe
   
Loading...