atakaonunua harafu akawa ametapeliwa nitamshangaa sana kuna vitu vingine lazima utumie akili,muuzaji ashakwambia yeye ni Tapeli bado unaingia kingi kwenye 18 zake
... Nakupata Bobby, umeunganisha dots kwa haraka sana. Nilimaanisha tu kununua kiwanja ni mpaka mtu ajiridhishe na records zilizopo ardhi na identity ya muuzaji. Jumapili njema ...