King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,914 Reaction score 95,246 Nov 19, 2012 #21 25m kwa 35m kwa kibada hauwezi pata kwa bei hyo labda hio miguu iwe sawa na feet na si kwa kipimo cha hatua kama meter.
25m kwa 35m kwa kibada hauwezi pata kwa bei hyo labda hio miguu iwe sawa na feet na si kwa kipimo cha hatua kama meter.
A Akiri JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,445 Reaction score 217 Nov 20, 2012 Thread starter #22 haya wadau nikiweka viwanja vya bei juu mnakasirika na leo nimeweka hiki cha bei powa na kipo karibu na barabara wengi wameahidi kuja kukiona karibuni sanaaa
haya wadau nikiweka viwanja vya bei juu mnakasirika na leo nimeweka hiki cha bei powa na kipo karibu na barabara wengi wameahidi kuja kukiona karibuni sanaaa
A Akiri JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,445 Reaction score 217 Nov 20, 2012 Thread starter #23 King Kong III said: 25m kwa 35m kwa kibada hauwezi pata kwa bei hyo labda hio miguu iwe sawa na feet na si kwa kipimo cha hatua kama meter. Click to expand... uko sahihi . lakini hili eneo ni mashamba ya minazi ni hili eneo lipo na linauzwa hiyo bei njoo twende tukaone ukirizika ripa mkuu
King Kong III said: 25m kwa 35m kwa kibada hauwezi pata kwa bei hyo labda hio miguu iwe sawa na feet na si kwa kipimo cha hatua kama meter. Click to expand... uko sahihi . lakini hili eneo ni mashamba ya minazi ni hili eneo lipo na linauzwa hiyo bei njoo twende tukaone ukirizika ripa mkuu
M Mbwambo JF-Expert Member Joined Nov 25, 2008 Posts 625 Reaction score 95 Nov 20, 2012 #24 akiri said: kilometer mkuu , njoo ulipie ka plot haka , haka kaeneo ni kazuri sana upepo kibao minazi kwa kwenda mbele Click to expand... kaka tumeishaongea kwa simu naomba uniombee nitakuja jumapili inayokuja mungu akitujalia uhai asante mimi mama
akiri said: kilometer mkuu , njoo ulipie ka plot haka , haka kaeneo ni kazuri sana upepo kibao minazi kwa kwenda mbele Click to expand... kaka tumeishaongea kwa simu naomba uniombee nitakuja jumapili inayokuja mungu akitujalia uhai asante mimi mama
A Akiri JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,445 Reaction score 217 Nov 20, 2012 Thread starter #25 Mbwambo said: kaka tumeishaongea kwa simu naomba uniombee nitakuja jumapili inayokuja mungu akitujalia uhai asante mimi mama Click to expand... nakumbuka mama usikonde tuko pamoja
Mbwambo said: kaka tumeishaongea kwa simu naomba uniombee nitakuja jumapili inayokuja mungu akitujalia uhai asante mimi mama Click to expand... nakumbuka mama usikonde tuko pamoja
Nyaubwii JF-Expert Member Joined Sep 16, 2011 Posts 229 Reaction score 55 Nov 20, 2012 #26 kawakama said: na hajasema miguu ya nini inaweza kuwa miguu ya ngamia,sungura,nguruwe,ngedere,kakakuona au miguu ya bata ufafanuzi plz Click to expand... Mkuu kawakama umeniacha hoi sana. Hee hadi miguu ya kakakuona kumbe inatumika. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kawakama said: na hajasema miguu ya nini inaweza kuwa miguu ya ngamia,sungura,nguruwe,ngedere,kakakuona au miguu ya bata ufafanuzi plz Click to expand... Mkuu kawakama umeniacha hoi sana. Hee hadi miguu ya kakakuona kumbe inatumika.