kiko kata ya kerege bagamoyo 0.5KM Kutoka barabara iendayo bagamoyo na 3KM kufika baharini miundombinu kama maji,umeme na barabara vyote viko safi.kina ukubwa wa 25 kwa 30 bei ni MILIONI 8 Mawasiliano piga 0714358610
kuweni makini na maeneo ya Bagamoyo hasa kuanzia Kerege hadi Kiromo eneo kubwa limechukuliwa na mradi wa EPZA. msinunue bila kupata taarifa sahihi kutoka Manispaa ya Mji wa Bagamoyo kitengo cha ardhi. Ni hayo tuuu

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.