Kiwanja kinauzwa jijini Dodoma

Kiwanja kinauzwa jijini Dodoma

Mzaleee

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
2,128
Reaction score
4,028
Wakuu kwema?

Kaka yangu anauza kiwanja chenye ukubwa wa 962 square meter kilichopo mtaa wa michese jijini Dodoma.

Kiwanja kimepimwa na tiari ramani ya mtaa ipo kamili,kipo jirani na shule ya msingi michese na pia ni jirani na zahanati ya michese.

Huduma kama umeme,nguzo ipo jirani hvo ni kuvuta tu,maji ndo serikali inaweka mabomba na si mda sana maji ya uhakika yatapatikana..

Kiwanja kinauzwa bila udalali na bei yake ni 1.9 million(1.9M),karibu kwa maongezi na kwenda kukiona.
 
Bado kipo...karibuni wakuu.
 
Mzalee, naomba maelekezo zaidi mimi dodoma siielewi vizuri. Ni umbali gani kutokea dom mjini? Na ni uelekeo wa barabara ipi?
 
Mzalee, naomba maelekezo zaidi mimi dodoma siielewi vizuri. Ni umbali gani kutokea dom mjini? Na ni uelekeo wa barabara ipi?
Umbali ni kama Kilometer 10_15 kufika Dodoma mjini .. Barabara ni hii inayoelekea iringa.nipigie kwa maelezo zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom