Kiwanja kinauzwa Iwambi Mbeya

Kiwanja kinauzwa Iwambi Mbeya

Mlendamboga

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
671
Reaction score
348
Kiwanja chenye hati kinauzwa

kiwanja hicho kipo eneo la iwambi jijini mbeya, block f kinafaa kwa kujenga ghorofa kinauzwa 12 milioni
 
nitafute kwa +61424679013 tuongee biashara, usiogope kupiga we piga tu ila sio kuanzia sa1usiku-8usiku.Thanks
 
Nimeogopa kupiga, je wahitaji kiwanja cha ghorofa? Manake vipo vya ghorofa na kawaida
 
wewe unauza kweli au unatania, mteja anakwambia upige simu unaogopa nini sasa, kama salio utata unampa namba yeye anakupigia. Btw, kiwanja cha ghorofa ndiyo kitu gani, au kama vya igogo mwanza? wewe sema unauza kiwanja toa vipimo na location, na details zingine kama kipo mtoni au mlimani, tambarale nk.
 
Kiongozi viwanja vya eneo hilo vimekuwa specified kuna block ambayo ni ghorofa tu! na kuna block ambayo ni viwanja vya kawaida. So swali langu halina kasoro, ila nimepm juu ya kupiga simu manake naiona kama ya nje ya nchi hivi na cheka zetu za bongo hazivuki mipaka!!!
 
mtafute huyo jamaa sasa, namfahamu hawezi kuwa anakuzingua labda biashara ishindikane kwa sababu za kimaslahi tu!
 
Vya kawaida vinaanzia 15 milion hadi 20milion kwa eneo la Iwambi na eneo jipya la SISTIA ambako kitajengwa chuo cha Mzumbe bei ni 7-10 milion
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom