Kiwanja kinauzwa haraka Kitunda Machimbo

Kiwanja kinauzwa haraka Kitunda Machimbo

Original Pastor

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Posts
1,274
Reaction score
52
Habari wakuu, Nauza kiwanja changu 35 kwa 34 na kina vyumba viwili, ukinunua unaendelea kuishi hutajutia fedha. Kitunda Machimbo mwisho wa daladala. Bei inaanza milioni 28, maelewano yapo, ni kwa ajili ya ada na masuala mengine.

Wahi haraka!

Mawasiliano: 0713623575
 
Habari wakuu, Nauza kiwanja changu 35 kwa 34 na kina vyumba viwili ukinunua unaendelea kuishi hutajutia fedha ,kitunda machimbo mwisho wa daladala bei inaanza milioni 28 maelewano yapo, ni kwaajili ya ada na masuala mengine wahi haraka . 0713623575

Duh..ada milioni ngapi......nadhani sababu hasa ni masuala mengine..
 
Unajua watoto 5 wanasoma english medium ada kwa mwaka 2 milioni je watasoma miaka mingapi
 
Mnunuzi anakuja na mawasiliano ya maongezi wewe nina shaka na wewe ulipita kunisalimia tu nipo serious mazeee
 
Habari wakuu, Nauza kiwanja changu 35 kwa 34 na kina vyumba viwili ukinunua unaendelea kuishi hutajutia fedha ,kitunda machimbo mwisho wa daladala bei inaanza milioni 28 maelewano yapo, ni kwaajili ya ada na masuala mengine wahi haraka . 0713623575

Kina hati?
 
0713669533 namba hizi ni whats app na unipigie kupitia hapa namba hizi
 
Pichaa?

Hivyo vipimo ni mita, hatua au futi?
 
Asakuta same mimi sio dalali ni mali zangu . Kama huna pesa potezea au ndo kazi unazofanya kukandia njoo ununue acha porojo
 
ukipata mteja kwa hyo bei njoo ulambe buku ya ziada
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom