Kimeshauzwa??? Tuongee?? Nina tuhela kidogo nisijetunywea bia bure.Kiwanja kipo goba njia nne kama unaelekea madale,
Kina ukubwa wa mita 25 kwa 25
1.5km kutoka madale Road
Bei 12m
Maongezi zaidi au kuja kuona
0756060183
View attachment 1152152
Kimeshauzwa??? Tuongee?? Nina tuhela kidogo nisijetunywea bia bure.
Sawa mkuumkuu nakuchek
Nauza NYUMBA ipo KILUVYA Kwakomba. Ina vyumba vitatu kimoja ni masta, ina umeme, maji ya dawasco, imeezekwa kwa bati la msauthi disaini ya vigae, madirisha ya aluminum na KIWANJA ukubwa ni 30*40. Mawasiliano ni 0757615888/0717250250 karibuni
Kiwanja siyo tambarare aka flat. Hiyo slope ni very steep.
kaka kuna mtu ana Nyumba mapinga, huna mteja, ya room tatu kimoja master, na umeme upo na maji pia, kapaulia bati migongo mipana bei MIL 40Weka picha zake hapa
kaka kuna mtu ana Nyumba mapinga, huna mteja, ya room tatu kimoja master, na umeme upo na maji pia, kapaulia bati migongo mipana bei MIL 40
kaka kuna mtu ana Nyumba mapinga, huna mteja, ya room tatu kimoja master, na umeme upo na maji pia, kapaulia bati migongo mipana bei MIL 40
namba ya whtspp
namba ya whtspp
Kimeshauzwa??? Tuongee?? Nina tuhela kidogo nisijetunywea bia bure.