Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,804
Kimeshauzwa??? Tuongee?? Nina tuhela kidogo nisijetunywea bia bure.Kiwanja kipo goba njia nne kama unaelekea madale,
Kina ukubwa wa mita 25 kwa 25
1.5km kutoka madale Road
Bei 12m
Maongezi zaidi au kuja kuona
0756060183
View attachment 1152152