pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 883
Husika na kichwa cha habari hapo juu ninauza kiwanja maeneo ya Tandika karibu kabisa na chuo cha bandari kiwanja kimepimwa kina Hati miliki hakidaiwi na serikali kimelipiwa kodi zote za serikali
kiwanja kina ukubwa wa square meter 826
garama ya kuuza ni shilingi milion 370 maongezi yapo
mimi ndie mmiliki halali wa kiwanja so hakuna udalali hapa kwa maelezo zaidi chek me kwa whatsapp 0763772636/0713935395
Sent using Jamii Forums mobile app