Habari wadau,
Kwa wale walio na ufahamu ,uzoefu na upana wa mpango wa Mji wa Dodoma ya leo na ya kesho naomba mnishauri kama ni sahihi kuwekeza katika ardhi kwa kununua kiwanja kilichoainishwa kwa matumizi ya Makazi & biashara kule NALA Dodoma.
Nitafurahi kama unaweza kunipa sababu za ushauri wako.
Note: Nimeambiwa maeneo hayo ya NALA (14km from City Cetre) kunatarajiwa kujengwa Campus za Universities kama IFM and St. John
Ubarikiwe kwa ushauri wako.
Ahsante