Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 7,998
- 14,840
Kiwanja chenye size ya nusu hekari yani miguu 60 kwa 60 kinauzwa chanika lukooni nusu km kutoka kwenye shule ya msingi lukooni....
Kwa mawasiliano zaidi ni PM.
Mkuu nipm namba yako tuongee biashara.
jiuzie mwenyewe kwa bei uijuayo wewe mwenyewe!!?%&@₩§¥£
Uliza kwa nini nime-comment hivyo?Sawa kaka asante kwa mchango wako uliotukuka.... Div5
Uliza kwa nini nime-comment hivyo?
kaka majambazi yapo mpaka ikulu iwe mtaanihali ya majambazi vipi huko
bei ni 4.5m na inaongeleka....niko interested saana na kununua kiwanja lakini kwa jinsi mnavyouza walaa sihitaji!
yaani nije pm ndo unipe bei! hauko serious kabisa, mnajaribu soko? au mnapima akili za watu? mnaboa saana
Ulikua hujataja beikwa nini bosi...........