kiwanja kinauzwa chanika

kiwanja kinauzwa chanika

xallito

Member
Joined
Sep 21, 2015
Posts
38
Reaction score
48
kiwanja kinauzwa chanika masaki shilling million moja laki 7 maelewano yapo
ukubwa acre kasoro robo
tuwasiliane kwa namba +255 769 768 631
 
Toa maelezo kamili mzee, chanika sehemu gani na size gani.
 
Hicho kiwanja kiko Chanika ipi, Mwanzo hapa Karibu na Pugu au kule mwisho kabisa?
 
kiwanja kinauzwa chanika masaki shilling million moja laki 7 maelewano yapo
ukubwa acre kasoro robo
tuwasiliane kwa namba +255 769 768 631
Hiya Chanika Masaki ndiyo wapi mkuu. Mwanzo WA chanika ah mwisho. Kutoka Kajiungeni ni umbali kiasi gani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom