Mkuu leta 5 kamili tufanye biasharakamata 4.5m mkuu, Ila ulipaji nitakuwa na mchakato Kama wa mkuu Tume ya katiba ili kujiridhisha.
Chukua 1.9, Hali ngumu Kwa hicho kimojaHabari za Jumapili wakuu. Karibuni sana tufanye biashara. Tukumbuke kuwa kiwanja kina ukuta mbili (Muundo wa L, Umeme upo na gari inafika. Pia eneo ni tambarare na umbali kutoka chanika mwisho in dakika 7 hadi 10 kwa miguu
Sent using Jamii Forums mobile app
Muogope.Mungu mkuu. Nilinunua. 6 MChukua 1.9, Hali ngumu Kwa hicho kimoja
Nimekuambia kwa kimoja, si unataka kukigawammarKwapost: 23085753 said:
Hata nikikigaw lakini kwa bei hiyo utaniumiza mkuuNimekuambia kwa kimoja, si unataka kukigawa
Nasubiri mie ishuke hadi 3m.We jamaa hiyo bei ulivyoishupalia ni noma. Mzee hapo nitakuwa nimeongeza maumivu kwa bei hiyo
We kweli kitumbua mchangaMi nasubiri afike 3m maana usawa huu si wa kuhusudu kuachana na hela nyingi nyingi namna hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha nini ukisema gharama za manunuzi mkuuHiyo bei inahusisha gharama za manunuzi
Japan's mkuu, now ninayo hiyo 4.5m. Hivi bado Hivyo Kiwanis kipo, Mbona kimekaa sikuoni Sana?
Daaah. Malizia tu mkuu utoe tano kamiliJapan's mkuu, now ninayo hiyo 4.5m. Hivi bado Hivyo Kiwanis kipo, Mbona kimekaa sikuoni Sana?
Kipo Chanika mwisho eneo linaloitwa Gogo minazi mirefu.
Urefu ni meter 42, upana meter 25. Gari inafika na imezungukwa na fensi za ukuta mbili za majirani.
Bei ni million 5 kutoka Million 8 niliyotangaza hapo awali. Karibuni pm tufanye biashara.
Pia nimepata wazo mbadala la kukigawa hichi kiwanja Mara mbili yaani 21 kwa 25 na kuuza 2,500,000.
So kwa atakaevutiwa anaweza kuchagua kununua chote kwa Million 5 au nusu kwa bei niliyotaja hapo juu. Karibuni sana wadau.
Nimelazimika kupunguza bei baada ya kukosa Wateja na ninahitaji pesa ya kuendeleza biashara zangu.
Asanteni wadau kwa ushirikiano wenu
Malizia hiyo tano mkuuJapan's mkuu, now ninayo hiyo 4.5m. Hivi bado Hivyo Kiwanis kipo, Mbona kimekaa sikuoni Sana?