Mwana Ilala JF-Expert Member Joined Jan 29, 2013 Posts 1,286 Reaction score 488 Oct 29, 2016 #1 Chanika Mjini(Videte) 50Ft X 50Ft, Bei: 4.5M. Umeme na Maji hapo hapo. 0.6Kms kutoka Barabara ya Lami. 1.7Kms toka Chanika Stand. Pamepimwa kienyeji vizuri sana. Kiwanja #29 & #30 Bado vinapatikana. Unajenga na kuhamia Leo leo bila kusubiria Umeme na Maji.
Chanika Mjini(Videte) 50Ft X 50Ft, Bei: 4.5M. Umeme na Maji hapo hapo. 0.6Kms kutoka Barabara ya Lami. 1.7Kms toka Chanika Stand. Pamepimwa kienyeji vizuri sana. Kiwanja #29 & #30 Bado vinapatikana. Unajenga na kuhamia Leo leo bila kusubiria Umeme na Maji.
S shaurimbaya JF-Expert Member Joined Oct 3, 2013 Posts 1,915 Reaction score 2,339 Oct 29, 2016 #2 hiyo ni sawa na mita ngapi??
K KIJONGA JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 456 Reaction score 374 Oct 31, 2016 #3 Mkuu ft 1 ~0.3m,hvyo ndo kusema ukubwa wa icho kiwanja ni 17m×17m,kwa ujenzi wa sasa akisatahili kabisa,kwanini msigawe katika reasonable dimension ambazo zinatosha kwa ujenzi??acheni usaniii
Mkuu ft 1 ~0.3m,hvyo ndo kusema ukubwa wa icho kiwanja ni 17m×17m,kwa ujenzi wa sasa akisatahili kabisa,kwanini msigawe katika reasonable dimension ambazo zinatosha kwa ujenzi??acheni usaniii