Kiwanja kinauzwa chanika 2,5mil

Kiwanja kinauzwa chanika 2,5mil

joss1973

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2010
Posts
405
Reaction score
103
20 kwa 20 kinauzwa Milioni 2.5mil ( Kipo chanika magengeni), huku hautanunua mchanga kwa ujenzi maana huku ardhi yake ni kichanga. Hivyo watu wanafanyaga hivi, pale unapotaka kuchimba choo au kalo ule mchanga ndio utakaojengea nyumba yako. nicheki hapa 0713959290
 
Mwendo kiasi gani toka barabarani, kimepimwa, huduma za msingi kama umeme vp?
 
Kutoka barabara mpaka kwenye kiwanja ni kama dk 15 .umeme umefika na barabara mpaka kwenye kiwanja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom