Kiwanja kinauzwa Buswelu, Mwanza

Kiwanja kinauzwa Buswelu, Mwanza

Mangachini

Senior Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
131
Reaction score
125
Kiwanja kinauzwa eneo la Block 2, Buswelu, Mwanza. Ni kiwanja kikubwa Low Density, kimepimwa na kiko wazi. Pia kina hati tayari. Bei ni poa kabisa. Tuwasiliane kwa simu 0683 088859
 
Haya mambo ya vificho sijui mtayaacha lini
 
Namba yenyewe haipatikani bei hutaki kuweka hapa wala square meter hujaweka.
 
Kiwanja kinauzwa eneo la Block 2, Buswelu, Mwanza. Ni kiwanja kikubwa Low Density, kimepimwa na kiko wazi. Pia kina hati tayari. Bei ni poa kabisa. Tuwasiliane kwa simu 0683 088859

buswelu sehem gani kaka? kina ukubwa gani? niinbox bei
 
buswelu sehem gani kaka? kina ukubwa gani? niinbox bei

Hakiko mbali sana na ofisi za Halmashauri ya Manispaa Ilemela. Kina ukubwa Mira 30 kwa 43. Simu yangu iko hewani muda wote. Karibu tuongee.
 
Nimekupa hayo maelezo ya kiwanja, tutafutane ili nikakuonyeshe uweze kutoa maamuzi
 
Kiwanja kinauzwa eneo la Block 2, Buswelu, Mwanza. Ni kiwanja kikubwa Low Density, kimepimwa na kiko wazi. Pia kina hati tayari. Bei ni poa kabisa. Tuwasiliane kwa simu 0683 088859
Sasa nikutafute wakat sijui hata bei ya kuanzia...weka mambo waz bwana...!!!! Haya ndo matatzo ya kudalalia vitu.
 
Kiwanja kinauzwa maeneo ya airport ilemela mwanza. Ukubwa sqm 266. Bei 2ml. 0753101293
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom