Kiwanja kinauzwa Bunju

Kiwanja kinauzwa Bunju

chaUkucha

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
3,382
Reaction score
1,222
kiwanja kinauzwa bunju kina mjengo wa vyumba viwili kimoja kimepangishwa ukihitaji mpangaji anarudishiwa hela yake ukubwa wa kiwanja ni 20 kwa 15 bei ni mil 18.
 
Umbali gani kutoka barabara ya morogoro road na barabara ya mtaa?

Mkuu, kama kiwanja kina mjengo na hati tena ndani ya Jiji, kwa bei hiyo wala usiulize umbali.

Kwa kuwa kina hati, hata kama kiko umbali wa km 20 kutoka barabara kuu jikamue ununue.

Vv
 
Mkuu, kama kiwanja kina mjengo na hati tena ndani ya Jiji, kwa bei hiyo wala usiulize umbali.

Kwa kuwa kina hati, hata kama kiko umbali wa km 20 kutoka barabara kuu jikamue ununue.

Vv

Kisa na mkasa cha kutembea umbali wote huo hati au?
Anyway mganga wangu kaniambia nisinunue kiwanja mbali na barabara
 
picha nimeweka nashangaa haionekani ngoja niweke tena.
 
Back
Top Bottom