Kiwanja kinauzwa boko-kibaha picha ya ndege.

Kiwanja kinauzwa boko-kibaha picha ya ndege.

mputika

Senior Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
163
Reaction score
18
Kimepimwa kina hati yake,ukubwa ni hatua 70 kwa 70,umbali ni km 5 kutoka barabara ya morogoro,maji,umeme vipo karibu,ni planed area,eneo tambarare,bei maelewano,anayehitaji anipm au anipatia mawasiliano yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom