Kiwanja kinauzwa bei poa

Nelson Kapaya

Member
Aug 7, 2014
99
15
Kiko maeneo ya airport ilemela- mwanza. Ukubwa 20m*15m. Bei laki 8 mazungumzo yapo. 0753101293
1462467370789.jpg
1462467416003.jpg
1462467462243.jpg
 
Laki 8, yaani kwa tarakimu 800,000/= je ni dollar au shilingi maana 20x15 mita za mraba hata squatter bei hiyo haipo, tuweke sawa aisee.
 
Kuna laki 3 hapa kama vp nikutumie tigo pesa nimtume mtu akinunue on my behalf.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom