kiwanja kinauzwa bei chee..Wazo!!

kiwanja kinauzwa bei chee..Wazo!!

comred

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
1,867
Reaction score
1,606
location :Wazo _kontena mivumoni

Ukubwa wa kiwanja : robo tatu(3/4) heka

Faida : kiko ukingoni mwa barabara na miundo mbinu kama umeme upo pia

Bei ya kiwanja : tsh.23M + maelewano

Ni PM kama unania nacho..

shukran...
 
Kimepimwa??? maana ukiwa unatokea Wazo kuelekea Mivumoni upande woote wa kulia haujapimwa na kuna sehemu kuubwa itapita Barabara na watu wengi sana wamelizwa yale maeneo, hivyo hata ukipita utakuta kuna majumba kadhaa makubwa lakini hayajafanyiwa finishing baada ya kustuliwa na wasamalia. Hebu niambie hicho kiwanja kipo upande gani na maeneo gani maana Mivumoni kwasasa kwa vile vilivyo pimwa hata SqMetre 600 kwasasa kupata kwa hiyo M23 ni bahati sana, kama kimepimwa naomba tumalize biashara hata kesho. Sijataka kutumia PM kwa hili mpaka ukifafanua.
 
Kile cha CDA Dodoma ushakipiga?
 
mkuu MVAA TAI..kiwanja kiwanja kikomiongoni mwavile ambavyo avijapimwa.
lakini mradi huo wa barabara umeshakua surveyed na hauto athiri eneo lakiwanja..
Kama ukipata muda itakua vema tukafika site na kuli analyse
shukran:.
 
Poa kiongozi, maana yale maeneo wameshalia watu wengi sana na inauma sana.
 
Mivumoni inakuja juu sana. Vijana wanajenga sio mchezo! Ikipita lami na maji ya bomba yakifika Tegeta kwishney!

Kimepimwa??? maana ukiwa unatokea Wazo kuelekea Mivumoni upande woote wa kulia haujapimwa na kuna sehemu kuubwa itapita Barabara na watu wengi sana wamelizwa yale maeneo, hivyo hata ukipita utakuta kuna majumba kadhaa makubwa lakini hayajafanyiwa finishing baada ya kustuliwa na wasamalia. Hebu niambie hicho kiwanja kipo upande gani na maeneo gani maana Mivumoni kwasasa kwa vile vilivyo pimwa hata SqMetre 600 kwasasa kupata kwa hiyo M23 ni bahati sana, kama kimepimwa naomba tumalize biashara hata kesho. Sijataka kutumia PM kwa hili mpaka ukifafanua.

Kama unahitaji maeneo ya WAZO-MAKAMBA kipo chenye Upana 35*45 urefu,bei 25 milioni,maongezi yapo.Kama unahitaji piga 0754 856277
 
Kimepimwa nikuunganishe na mtu?
Hakijapimwa mdau ila kipo eneo ambalo limepangiliwa kimitaa vizuri,pia kingine kipo salasala upana 40*40 urefu,bei 50milioni.Nyumba 3bedroom na choo ndani,80 milioni size ya uwanja wake ni Upana 35m*47m,maelewano yapo pia.Ila kama utataka mtu wa kukupimia ninae.
 
comred, naomba unipigie tena nimejichanganya namba ya simu uliyonipigia jana, tafadhari nipigie nipate namba yako tupanga biashara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom