Kiwanja kinauzwa Bamia Chamanzi karibu na Chamanzi complex

Kiwanja kinauzwa Bamia Chamanzi karibu na Chamanzi complex

crak

Member
Joined
Apr 6, 2011
Posts
37
Reaction score
5
Kiwanja chenye ukubwa wa miguu 70x50 kinauzwa chamanzi vituo viwili kabla ya chamanzi complex kwa 8.5m Tshs. kwa mawasiliano zaidi 0719077350
 
Kiwanja chenye ukubwa wa miguu 70x50 kinauzwa chamanzi vituo viwili kabla ya chamanzi complex kwa 8.5m Tshs. kwa mawasiliano zaidi 0719077350

Hatua za Miguu zinatofautiana. Kakipime tena kwa Standard International Units kama Futi au Mita urudi tena!!
 
Huu uhuni sasa.
Hivi dunia hii kuna watu wanapima kwa miguu kweli?
Hiki nahisi ndio kule bomoabomoa inapita.
Maana hapo inamaana miguu ikizidikesho jirani yako wa mbele anabomoa ukuta,na wa pembeni anafuata mwisho unabakia nachoo,hata mipaka haijulikani.

Wapimaji wenyewe walikuwa kumbe hawa.
short.jpg
 
Back
Top Bottom