Replies
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,497
- 453
Kiwanja Kiko karibu kabisa na mto RUVU usiokauka maji mwaka mzima,ni kizuri kwa Kilimo cha umwagiliaji Kama Mpunga,matikiti maji,vitunguu na Mazao mengine yote.
Ardhi ni safi sana na waweza kuniPm kwa maelezo zaidi
Bei ni 10M na kina ukubwa wa hekari Tatu(3)
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ardhi ni safi sana na waweza kuniPm kwa maelezo zaidi
Bei ni 10M na kina ukubwa wa hekari Tatu(3)
Sent from my iPhone using JamiiForums