Bintiwangara
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 551
- 287
Ni Heka Moja. kipo nyuma ya shule ya msingi Kilomo kilometer 3. kutoka kilomo Shule ya msingi. Bei yake ni Mil.4.5 (inaongeleka)
kama una kiitaji Ni pm
kama una kiitaji Ni pm
Ni 3/4 Heka. kipo nyuma ya shule ya msingi Kiromo kilometer 2. kutoka kiromo Shule ya msingi. Bei yake ni Mil.4.
kama una kiitaji Ni pm.
kimepimwa na kina hati, mbali gani kutoka barabara kuu na je ukitoka dar kuelekea bagamoyo kiromo iko upande gani kushoto au kulia?
ukitoka Dar kwenda Bagamoyo Kiromo Shule ya msingi ipo kushoto.umbali wa kiwanja kutoka barabara kuu ni Kilomita 2 pia coz kiromo Shule ya msingi ipo just Barabarani upande wa kushoto ukienda bagamoyo. Kiwanja hakija pimwa. lakini kipo sehemu nzuri wala hakuna tatizo lolote.
Sawa mkuu,ikiongezeka karibuhilo ni shamba sio kiwanja mkuu. nina M2 zikifika 4 nitakutafuta.
eka 1 ni sawa na sq.m 4,300 hivi. 3/4 ya eka ni kama 50m*64m. je ni vipimo hivi unarefer au miguu ya binadamu mfupi na mrefu wote wanahesabu miguu sabini sabini
Yaa bado kipo mkuu,,kipoBado kipo kiwanja?
kama unahitaji shamba ni Pm mkuuUko Mpesa, Airtel au Tigomoney nikurushie 3m?
ok haina shida mkuunitakutafuta jumamosi nije nikione
ok haina shida mkuu