Kiwanja kinauzwa 6.5m

Point
 
Samahani mkuu izo 6.5m zitatosha hadi watakapomaliza elimu yao. Usije ingia mkenge ukalipa muhula huu halafu Januari ikawa kimbembe.
 
mtoa mada fuata huu ushauri otherwise utauza mpk Ngozi yako
 
Fafanua mkuu
Kuna kipindi nilikuwa nanunua viwanja (enzi za Mkapa na JK) sasa kuna kipindi baba yangu alipata matatizo na kutakiwa kupelekwa India, kila niliyemfuata kunisaidia hata mkopo alikuwa ananipa sababu lukuki. Mwisho wa siku niliuza eneo moja tu kati ya mengi niliyonayo na mzee akaenda kutibiwa na mpk leo yuko salama ugonjwa ulipona kabisa ingawa alikuwa ktk hali mbaya sana. Ndipo huo msemo wa kimfaacho mtu chake ulipochukua maana kubwa sana kwangu
 
Tupo pamoja mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…