Ela ya mguu unayo nikupeleke..
Hela ya " mguu" sio tatizo,lakini jiridhishe kwanza huko unakonipeleka kiwanja kina hivyo vigezo?
Mkuu ni kweli inaweza kuwa ndogo kwako lakini mtu mwingine ikamfaa.hiyo ofa yako ndogo sana,kanywee bia tu mkuu.
ok mkuu..kila la heri.Mkuu ni kweli inaweza kuwa ndogo kwako lakini mtu mwingine ikamfaa.
Unataka kusema nini? Ofa iko juu sana au chini sana?Hacha na mambo ya viwanja... Una nunuaje volume 750 kwa 2M tena polini...
Boko mnemela kutoka Morogoro road nikakupe mita mraba 600 kwa million 1.8Kiwanja kinatakiwa kiwe maeneo ya Kiluvya au Kibaha umbali usiozidi km 5 toka Morogoro Road.
Ukubwa isiwe chini ya mita za mraba 750, bei ISIZIDI Tsh 2,000,000/=(milioni mbili).
Zingatieni bei, umbali na ukubwa.
Karibuni!
Boko mnemela iko wapi?Boko mnemela kutoka Morogoro road nikakupe mita mraba 600 kwa million 1.8
Sent using Jamii Forums mobile app
Unavuka kwa mfipa? Je ni km ngapi toka Barbara ya morogoro?