Kiwanja kinatafutwa

Kiwanja kinatafutwa

DAVIES

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
516
Reaction score
90
Habari jamaa yangu anatafuta kiwanja maeneo ya Goba au kigamboni 20 kwa 20 bujet yake mil 3 kama unacho ni pm namba nikuunganishe nae ok natoa hoja
 
Hii Ofa ni ya kutafuta kutapeliwa tu.
Ila, Kila la kheri mkuu.
 
Ongeza ufike 8.5 Nkupe kiwanja kigamboni kwa pinda kimepimwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom