mkuu hii tp sio survey plan...Kama utahitaji picha zaidi nitakutumia whatsApp ikiwa ni pamoja na bircon no.View attachment 997388
Sent using Jamii Forums mobile app
mwaga tu hapa taarifa ana weza asinunue yeye nika nunua Mimi mwingine... muhimu kuweka taarifa wazi...
kime pimwa?
ni 20*50 ??Kuna Kiwanja kimepimwa karibu kabisa na chuo kikuu cha st John sq M 1000 kinauzwa mil 16 maongezi yapo ila kipo barabaran kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kivike nipe no yako cm haisupport pm mode
Mkuu kiwanja Sq. mita 4431 si karibu Hekari moja ! Kiwanja hiki kipo karibu na Ikulu,kimepimwa kwamatumizi gani!NUNUA SHAMBA NA KIWANJA NDANI YA JIJI LA DODOMA KWA BEI NAFUU
MASHAMBA:
Eneo: Nala, Lugala na Mbalawala
Ukubwa: Ekari 1,2,3,5,10,20 Mpaka 50
Bei: Kuanzia Millioni 2 mpaka Millioni 5 kwa kila Ekari
Umbali:Kilometre 2 - 5 Kutoka Barabara ya Lami Dodoma -Singida
VIWANJA:
Eneo: Chamwino Ikulu (Mita 500 kutoka ukuta wa Ikulu)
Ukubwa:Square metre 4431
Bei: Tsh 12,000 kwa Kila Square Metre
Umbali:Kilometre 2.5 Kutoka Barabara ya Lami Dodoma - Dar Es Salaam
Eneo: Nala
Ukubwa:Kuanzia Square metre 400 mpaka 2,000
Bei: 5000 mpaka 6500 kwa Square metre
Umbali:Kilometre 2 - 8 Kutoka Barabara ya Lami Dodoma -Singida
Kwa Mawasiliano Piga Namba
0625-640497 Halotel
0718-424148 Tigo
###@KARIBUNI SANA@###
Mkuu kiwanja Sq. mita 4431 si karibu Hekari moja ! Kiwanja hiki kipo karibu na Ikulu,kimepimwa kwamatumizi gani!
Kivike nipe no yako cm haisupport pm mode