Kiwanja kinatafutwa Dodoma

*ELFU NNE TU KWA SQUARE METRE*
MAHALI ;-Nala-chinangali(karibu na mzani)
-singida/mwanza/tabora main road

UMBALI ;-15Km toka city centre
-400m toka main road

UKUBWA(SQM) + BEI(TZS)
A. 657----------------------- 2,628,000/=
B. 772------------------------3,088,000/=
C.1082------------------------4,328,000/=
D. 1083------------------------4,332,000/=
E.770---------------------------3,080,000/=
F.601------------------------2,404,000/=
G.601----------------------2,404,000/=
HUDUMA ZA KIJAMII
-Umeme hauko mbali na viwanja
-barabara inapitika vizuri na ni karibu kabisa na lami

KUPIMWA ; viwanja vyote vimepimwa tayari na manispaa ya dodoma na tayari vina barua ya kulipia kwa ajili ya hati
-wasiliana nami kupata kopi ya document kwaajili ya kuhakikisha manispaa uhalali wa umiliki kabla ya kufanya manunuzi

FURSA
1.Ni sehemu nzuri kwa makazi na tambarare
2.Bei yake ni nafuu sana
3.Viwanja vikubwa-vinakupa nafasi kubwa ya kufanya shughuli zako zingine
4.Bei ni ofa kubwa(huwezi pata ofa kama hii)
MALIPO
-Cash

MAWASILIANO
+255622111186(Whatsap)
+255767833496

OPEN DOORS TO BETTER LIVING
THANK ME LATER

NB ; Huwezi pata ofa kama hii kokote pale hivyo changamkia fursa hii

Vingine tazama list hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana mkuu,mbali na kuwa hakina thamani hiyo lakini pia ni kikubwa na eneo kilipo ni zuri kwa kadri ya ramani ya mpango mji wa manispaa ya jiji.
Ndani ya kiwanja kimoja hiki unaweza toa viwanja vingine 3 vikubwa vyenye ukubwa wa (35×22mtr).
Nina 3.4M kiongozi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
una weza nisaidia coordinate nijilidhishe kina angukia wapi? ktk hiyo mipango miji...

usinichoke kiongozi...
 
una weza share na Mimi survey plan yake (kiwanja, kina hati?)
Nipo kwenye hatua za mwisho kabisa kupata hati baada tu ya kutolewa ofa na hii ni baada ya zoezi la upimaji kumalizika,
.
.
Kiwanja kipo kwenye eneo la makazi na biashara,kipo jirani na uwanja wa ndege wa kimataifa wa Msalato(ujenzi unaendelea),
Kiwanja kina barabara mbili kubwa za kwenda na kutoka uwanja wa ndege na nyingine ya kuelekea mji wa makazi ya wafanyakazi wa serikali Mpamaa.

Lakini pia kipo karibu na huduma zote za kijamii kama shule,vyuo,hospitali na nyumba za ibada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu so una deed plan? kuna naomba picha ya site yako niione au namba za bicorn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…