Plot Agent
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 311
- 20
Kiwanja kipo "0 distance" kutoka bagamoyo road, Mbezi beach, kina ukubwa wa hekta3.
Cont: 0752953860
uncledalali
Cont: 0752953860
uncledalali
Mkuu ungeweka pia details kama
1. kinapangishwa shilingi ngapi kwa mwezi
2. kodi inatakiwa kwa mwezi/miezi 6 au mwaka
3. kina fence? Yawezekana picha haijacapture kiwanja chote
asante
Hivi hapa mjini kweli kiwanja cha hekta 3?? Au ni acre Tatu??