Kiwanja kinahitajika

Wakuu bado sijapata kiwanja katika maeneo niliyokuwa nayahitaji....kama kuna mtu yoyote anakiwanja maeneo tajwa anijulishe wakuu....

Kuna Kiwanja kimara maeneo ya kwakomba 20×30, gari inafika hadi kwenye kiwanja.
Bei milioni8.5
#kuna kingine kipo kingamboni kata ya kisalawe 25×25, bei milioni7
Cont:0752953860
 

Attachments

  • 1401367876799.jpg
    88.8 KB · Views: 144
Kuna Kiwanja kimara maeneo ya kwakomba 20×30, gari inafika hadi kwenye kiwanja.
Bei milioni8.5
#kuna kingine kipo kingamboni kata ya kisalawe 25×25, bei milioni7
Cont:0752953860
Mkuu kwa komba ni kimara au kiluvya baada ya kibamba chama?
 
Viwanja bado vipo maeneo ya mkuranga vikindu karibu na barabara kila ekari ni tshs. 700,000/= pia kama unahitaji vingine vipo maeneo ya Naga,o..bagamoyo napo ekari moja ni shs.700.,000/= wahi maeneo yanagombaniwa sana....

Ebu ni PM tuongee kuhusu bagamoyo Mkuu, ni bagamoyo gani hiyo?
 

tuwasiliane nkuzie viwanja kigamboni amani gomvu viko surveyed mkuu ni pm tuwasiliane kwa zaidi kama utapapenda huko kigamboni
 
Natafuta kiwanja cha kujenga makazi ya kuishi.
Bajeti yangu ni Tsh. 15 milioni

Sifa za kiwanja.
1. Kiwe kimepimwa na kina hati miliki na kisiwe na mgogoro wowote.
2. Kiwe mahala ambapo watu wameshaanza kujenga na- kuna huduma za kijamii, kama, maji na umeme.
3. Kisipungue ukubwa wa sqm 1000.

Maeneo ninayopenda zaidi.
1. Tabata, Wazo hill, Pugu, Kigamboni, Kibada, Toangoma, Kimara, mbezi, chanika, Ukonga, Goba
Mbeni,na maeneo mengine mazuri.

Email yangu ni woowtv@live.co.uk

NB.
Ningefurahi kama ningepata cha ukubwa wa sqm 1200 au zaidi, ninaweza kuongeza pesa kama- nitalidhika na kiwanja na mahala kilipo.


ASANTENI.
 
Umeshapata mkuu kama bado 0714787795 nicheki
 

Njoo fancity square meters 1200, kina offer Million 15
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…