Kiwanja kinahitajika

kipo kivule-kurutini,21m*16m.mita 50 kutoka barabara kuu ya mtaa.bei 4mil.pm if interested
 
Madale sehemu gani mkuu?

Ebu toa maelezo ya kutosha kuhusu kiwnja wapi kinapatikana na details zingine muhim kuhusu kiwanja pia weka na mawasiliano
 
Kwa hela hiyo njoo nikuuzie shamba heka 50 mzenga
 
mbezi makabe kipo 30mx40m huduma zote zipo. kinauzwa haraka sana kama unahitaji piga 0787 800914
 
Kipo salasala mwisho 25×20 (sqr meter 500),asking price milioni6 tu
 
kipo Vianzi Tank la maji.Kilomita 5 kutoka kongowe.ukubwa mita 40 kwa 25 kipo sehemu tambalale.kwa mawasiliano piga 0713649555 au 0754804452 ni 4 ml.
 
mbezi makabe kipo 30mx40m huduma zote zipo. kinauzwa haraka sana kama unahitaji piga 0787 800914

Makabe eneo gani mkuu?toa maelezo yakujitoshelea kwa faida ya wengine pia
 
kipo Vianzi Tank la maji.Kilomita 5 kutoka kongowe.ukubwa mita 40 kwa 25 kipo sehemu tambalale.kwa mawasiliano piga 0713649555 au 0754804452 ni 4 ml.

Huko mbali sana mkuu...ahsante kwa offer yako
 
kipo makabe msakuzi karibu na stendi ya mwisho ya daladala. nitafute kwa 0787 800914
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…