Kiwanja kinahitajika

Kiwanja kinahitajika

Allam

Senior Member
Joined
May 4, 2013
Posts
142
Reaction score
9
Nina mil 4 nataka uwanja iwe ni chanika,kitunda,pugu au gongo la mboto ,tafadhari weka sifa za kiwanja chako,ili kunishawishi
 
Kiwanja kipo kinyerezi, kikubwa pia pana maji na barabara inapita pembeni ya kiwanja, umeme , utulivu wa eneo husika ni sifa mojawapo, nipe contact yk
 
Kiwanja kipo kinyerezi, kikubwa pia pana maji na barabara inapita pembeni ya kiwanja, umeme , utulivu wa eneo husika ni sifa mojawapo, nipe contact yk
Ukubwa gani?kinyerezi ipi na bei ni kiasi gani?
 
Nina shamba ekari tatu chanika naweza kukumegea nusu eka kwa milioni zako nne tuwasiliane 0784211726
 
Kipo makazi mapya mlandizi kina ukubwa wa ekari 1, bei milioni 1.5 piga au text 0769142586
 
Ukubwa gani?maji?umeme?hati?eneo bondeni au juu?
 
Nina shamba ekari tatu chanika naweza kukumegea nusu eka kwa milioni zako nne tuwasiliane 0784211726

sifa zake ni zipi?mfano umeme ,maji vipo jirani? Au baada ya muda gani vitapatikana au kun mpango wa huduma hizo kufika hapo mahala kwa miaka ya karibuni?
 
Back
Top Bottom