Kiwanja kinahitajika Morogoro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja kinahitajika Morogoro

Discussion in 'Matangazo madogo' started by eliesikia, May 20, 2012.

 1. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Ninahitaji kiwanja morogoro au tanga

  Naomba kiwe kikubwa kidogo size kama 35 kwa 40 au zaidi. Bei utaniambia lakin usisahau na size yake.
  Kama unacho kidogo pia niPM.
  PM ningependelea zaidi au hata hapa jamvini mwaga mavitu
   
 2. araway

  araway JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2012
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 498
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  kuna kimoja kipo kihonda kina nyumba imefika kwenye lenta 7m . Uwanja si mkubwa sana lakini unatosha paking ya kama gari nne. Na kama sio mbaya naomba kujua bajeti yako niweze kukuuunganisha na wadau
   
 3. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  kaka naona kama kinaweza kunifaa... Kihonda maeneo gani? Mi nilitaka kiwanja peke yake ili budget iwe poa zaidi. Lakini hata hicho kitanifaa tuu ili mradi nikione fasta.
   
 4. araway

  araway JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2012
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 498
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  kipo mazimbu road njia ya kwenda azimio ukitaka kukiona nicheki kwa namba hii 0715026030
   
 5. Kimbojo

  Kimbojo JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2009
  Messages: 387
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kiwanja kingine kipo kihonda mizani maeneo ya Kiegeye utapenda?
   
 6. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Eeh kaka ni hivi vilivyopimwa juzi kati? Hicho kitanifaa labda mpaka nikione

  nitupie namba yako PM
   
Loading...