Kiwanja kilichopimwa kinauzwa Mwasonga

Kiwanja kilichopimwa kinauzwa Mwasonga

ANSILA

Member
Joined
Mar 12, 2011
Posts
13
Reaction score
10
Mawasiliano 0715454455
20180929_143504.jpg
20180929_125001.jpg
 
Picha hazifunguki ...maelezo ungeyaandika
 
Mbona iyo mwasonga ipo lindi we unasema ipo singida?
 
Mwasonga ipo maeneo yapi?
Hii ni Dar ndani ndani sana kama unaelekea Kisarawe. Unavuka kigamboni unaingia kibada, unaipita hadi Dar es salam zoo. Ndo kiliko chuo flani cha wakorea sijui wanafundisha kilimo
 
Hii ni Dar ndani ndani sana kama unaelekea Kisarawe. Unavuka kigamboni unaingia kibada, unaipita hadi Dar es salam zoo. Ndo kiliko chuo flani cha wakorea sijui wanafundisha kilimo
Ni wilaya ya mkuranga sio kisarawe.
Kisawe ni uelekeo wa g/mboto while mkuranga ni mbagala au kigamboni upande wa kimbiji
 
Ni wilaya ya mkuranga sio kisarawe.
Kisawe ni uelekeo wa g/mboto while mkuranga ni mbagala au kigamboni upande wa kimbiji
Hapana
Kipo Wilaya ya Kigamboni si Mkuranga
Na si Kisarawe bali ni Kisarawe two ambayo iko Wilaya ya Kigamboni eneo jipya la viwanda na uwekezaji
Barabara ya Dar Zoo
 
Hii ni Dar ndani ndani sana kama unaelekea Kisarawe. Unavuka kigamboni unaingia kibada, unaipita hadi Dar es salam zoo. Ndo kiliko chuo flani cha wakorea sijui wanafundisha kilimo
Ila sahv serikali Iko kwenye mpango wa kujenga Barabara ya lami ya 42km kutoka kibada - mwasonga mpaka buyuni ..itakayokuja kuungana na Barabara ya Kimbiji ...
So ni sehemu nzuri sana kwa uwekezaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom