Mkuu unamaanisha kama ninamteja nisimlete, kwa kuwa hutaki dalali, au sijaelewa maana yako?Ninauza kiwanja changu kilichopimwa na kina hati. Kiwanja hicho chenye ukubwa wa sqm 1948 kiko block 7 Mwanagati Manispaa ya Ilala, Dar es salaam. Bei ni Tshs. 20,000,000. Hakuna dalali. Kwa mwenye kuhitaji tunaweza kuwasiliana kwa namba 0657 621427.