Kiwanja kilichopimwa kinauzwa Dodoma

Kiwanja kilichopimwa kinauzwa Dodoma

Ochutz

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2011
Posts
465
Reaction score
106
Eneo kilipo ni Mapinduzi East,Barabara kuu ya kuelekea UDOM ukiwa unaiacha Makulu ni upande wa kushoto. Kiko karibu na chuo. Maji yapo kama mita sita kutoka kiwanja kilipo.Nguzo za umeme nazo haziko mbali pia. Hiki kiwanja kimepimwa na CDA. Kina urefu kila pande mita 27,27,23 na 23. Bei ni 4M fixed. Hamna dalali. Kwa mawasiliano SMS/PIGA 0713087251.
 
Mkuu 3m vipi?...nikupe 2 baada ya mwezi nikupe 1
 
Kiwanja bado kipo na sasa bei ya kuuzia ni 4M
 
Eneo kilipo ni Mapinduzi East,Barabara kuu ya kuelekea UDOM ukiwa unaiacha Makulu ni upande wa kushoto. Kiko karibu na chuo. Bomba kuu la maji liko kama mita sita kutoka kiwanja kilipo.Nguzo za umeme nazo haziko mbali pia. Hiki kiwanja kimepimwa na CDA na nimekiwekea mipaka pande zote. Pande zake hazilingani zote, yani mita 27,27,23 na 15. Bei ni 3.5M. Hamna dalali mimi ndie mmiliki. Kwa mawasiliano SMS/PIGA 0713087251.

Hati imekwishatolewa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom