N ndaha JF-Expert Member Joined Jul 6, 2013 Posts 347 Reaction score 49 Sep 29, 2014 #1 Wadau salaam..nauza kiwanja hapa Morogoro..sehemu inaitwa Kiyegeya B mkabala na mizani ya njia kuu ya dodoma.Kinaukubwa wa ekari 5 na kimepimwa.Bei ni Mil 40 tu.Karibuni
Wadau salaam..nauza kiwanja hapa Morogoro..sehemu inaitwa Kiyegeya B mkabala na mizani ya njia kuu ya dodoma.Kinaukubwa wa ekari 5 na kimepimwa.Bei ni Mil 40 tu.Karibuni