Joshua Haji
Senior Member
- Nov 4, 2011
- 108
- 20
Kuna kiwanja hekari 1 kigamboni Nyasonga mbele kdg ya Daressalaam Zoo Millioni 12..umeme maji vipo ,barabarani ni karibu na shamba lina minazi ndani yake tayari ,hati na vibali vyote vya Serikali za Mitaa vipo.