msonganzila
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 204
- 105
Nauza Kiwanja Kaliakoo Mtaa wa Tandamti na Sikukuu..... Mwenye kuhitaji karubu Sana........
Mbona bei rahisi sana??,Nauza Kiwanja Kaliakoo Mtaa wa Tandamti na Sikukuu..... Mwenye kuhitaji karubu Sana........
Umeona wapi bei,mbona haijawekwa hapo..??Mbona bei rahisi sana??,
Million 20 kariakoo??
Au Kariakoo ya Lindi labda
Kwanini haijawekwa??Umeona wapi bei,mbona haijawekwa hapo..??
Amesema Kiwanja kipo Kaliakoo, wewe unakujuwa huko?Kariakoo hamna kiwanja
Alaaniwe kila alimaye bangi na kuwauzia watoto wa wenzie
nani kasema mil 20?Mbona bei rahisi sana??,
Million 20 kariakoo??
Au Kariakoo ya Lindi labda
Nani hajasema sio 20mil??nani kasema mil 20?
Mbona huweki namba yako Kitomari?!.. sasa tutakupataje!!..Nauza Kiwanja Kaliakoo Mtaa wa Tandamti na Sikukuu..... Mwenye kuhitaji karubu Sana........
mwandishi hakuongea lolote kuhusu bei umekuja na 20mil...Nani hajasema sio 20mil??
Wewea jamaa ni mkoa gani kaliakooNauza Kiwanja Kaliakoo Mtaa wa Tandamti na Sikukuu..... Mwenye kuhitaji karubu Sana........
Wewea jamaa ni mkoa gani kaliakoo