mfetere JF-Expert Member Joined Feb 27, 2014 Posts 251 Reaction score 95 Apr 17, 2017 #1 Habari wadau kuna kiwanja kinauzwa bahari beach budget kina ukubwa wa square metres 4692 cha pili kutoka barabara ya lami kinafaa kwa kujenga apartment na kadhalika bei mil 400 maongezi yako picha sina nitatuma baadae kdg nitaenda kupiga. 0714787795
Habari wadau kuna kiwanja kinauzwa bahari beach budget kina ukubwa wa square metres 4692 cha pili kutoka barabara ya lami kinafaa kwa kujenga apartment na kadhalika bei mil 400 maongezi yako picha sina nitatuma baadae kdg nitaenda kupiga. 0714787795
empirical Member Joined Apr 13, 2017 Posts 21 Reaction score 16 Apr 18, 2017 #2 Nitumie namba ya mwenye kiwanja