Kiwanja Goba kinauzwa

Kiwanja Goba kinauzwa

dip pub

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2014
Posts
389
Reaction score
74
Kipo Goba, kina ukubwa wa mtsq 1300, kimepimwa na kina hati. Bei ni milioni 25.
 
Goba lulu sana. Back 2007 nilinunua kiwanja cha mita 20 kwa 25 kwa 2 million. Juzi mtu anataka nimuuzie kwa milioni 15, nikamwangalia kisha sikumjibu kitu chochote. Goba pazuri sana jamani, watu sasa hivi wamejenga mijumba ya ajabu sana.
 
bei inazungumzika kwa serious buyer tuu
 
kipo st.joseph (goba kunguru) kina nyumba ya
kurekebisha ina umeme na eneo lakutosha!
hakina hati doc muhimu za makabidhiano na
serikali ya mtaa zipo! ukubwa wa eneo 20 * 25!
serious buyer ni pm!
 
Kiko goba ipi toa taarifa kamili umbali gani toka barabarani
 
Makaburi YAKO umbaligani tokahapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom