Mkuu tupatie detail za buyuni...nimevutiwa na bei ila b4 sija ku-PM ningependa maelezo zaidi ya huko buyuni...
Mkuu tupatie detail za buyuni...nimevutiwa na bei ila b4 sija ku-PM ningependa maelezo zaidi ya huko buyuni...
Mkuu block 22 ipo pande zipi? ,nashuka kituo gani ,we nitajie me huko nshakuwa mwenyeji nimehamia kwangu block 8 ,Taliani kituoKiwanja kizuri kabisa kina 2219sq mtr, bei yangu ni 4000 kwa sqmt moja, so ni 8,876,000. Nauza bei hii kwasababu nimeshakiendeleza, nimekisafisha vizuri, nimezungushia nguzo za zege kiwanja kizima, pia nimepanda michongoma iliyokwisha chipua na nimerekebisha barabara iliyoachwa hoi na wananchi. Kiko blok 22,kiwanja ni tambarare, kwa sasa nimepanda matikiti maji ili pasikae bure. Serious buyer anipm au apige namba 0714881500.
Shukran.
Mkuu block 22 ipo pande zipi? ,nashuka kituo gani ,we nitajie me huko nshakuwa mwenyeji nimehamia kwangu block 8 ,Taliani kituo,nijuze fasta kesho nikutafute
Ukitokea katikati ya Jiji say Posta mpaka huko ni umbali wa Km ngapi?
Hilo nalo ni la msingi kwani wengine suala la kuamka mapema kwetu ni mtihani kidogo.
Kiwanja kizuri kabisa kina 2219sq mtr, bei yangu ni 4000 kwa sqmt moja, so ni 8,876,000. Nauza bei hii kwasababu nimeshakiendeleza, nimekisafisha vizuri, nimezungushia nguzo za zege kiwanja kizima, pia nimepanda michongoma iliyokwisha chipua na nimerekebisha barabara iliyoachwa hoi na wananchi. Kiko blok 22,kiwanja ni tambarare, kwa sasa nimepanda matikiti maji ili pasikae bure. Serious buyer anipm au apige namba 0714881500.
Shukran.