golden pride
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 847
- 435
vyuma!?Wakuu poleni na majukumu,
Kimfaacho mtu chake. Nauza eneo langu ambalo lina msingi wa nyumba
Sifa za eneo
-Lipo chanika zogo Ali
-Umeme nguzo tayari
-Vyumba vitatu, master moja, dinning, sebule, pumlic toilet,jiko na store
-Ukubwa wa kiwanja 20*20
-Linafikika kwa gari
-Umbali ni 1km kutoka chanika mwisho stand
-Mabaki ya ujenzi, tofali, na kokoto vipo
-Msingi ni imara, nondo 12mm nne kila upande
Nauza kwa sababu ya shida zinazonikabili, bei 6.5m
View attachment 644576
View attachment 644578
View attachment 644580
View attachment 644582
Ndio hivyo, vimechomelewa saivi, sio tu kukazavyuma!?
Nakuombea Mungu ufanikiwe, ipo sikuLaiti ningelikuwa na pesa ningelinunua
Ameen thuma Ameen,Nawe pia ufanikiweNakuombea Mungu ufanikiwe, ipo siku
AminaAmeen thuma Ameen,Nawe pia ufanikiwe
Karibu mkuu tufanye biasharaFursa hii.
NimeshakutumiaNamba ya mawasiliano pleas
Mkuu ipo hati ya mtaa. Ondoa shaka kwa hilo.Allah akufanyie wepesi.
Je kiwanja kina hati?
Una ya whatspNimeshakutumia
Ndio hiyo niliyokutumiaUna ya whatsp
Me too!Laiti ningelikuwa na pesa ningelinunua
Usijali mkuu ipo siku. Mimi mwenyewe naumia kukiuza, ila ndio sina jinsiMe too!
tying errorPublic sio pumlic utapata tu mnunuaji