Kiwanja chenye HatiMiliki kinauzwa 12.5m tu

Kiwanja chenye HatiMiliki kinauzwa 12.5m tu

Kipo Ilala Buyuni. Kina hatimiliki, bei 12.5milioni, ukubwa 400sqm 20x20. Kipo eneo la biashara ni miongongi mwa vile viwanja vya mradi wa viwanja elfu 20 vya mwaka 2000.

Mtaa wanaishi VIP tupu, mtaa umepangika umejengeka magorofa yakufa mtu. Yaani ukifika pale utapapenda. miundombinu ya umeme na maji tayari manispaa ya Ilala imeshaleta karibu na jamii.

Simu. 0765941752

Karibuni

Ilala buyuni ndio wapi huko?...
 
Nipe Details zake nikafanye Search kwa gharama zangu kama kiko sawa tunafanya biashara!

Title number......
Plot number......
Block number.......
 
kwa hiyo hayo maghorofa aliyoyanadi jamaa hayana umeme!!

Jamaa muongo tu! Buyuni naifahamu vizuri sana hakuna hiyo habari ya maghorofa ya kufa mtu sijui VIP watupu! Maji na umeme bado ni issue!
 
Ilala Buyuni kwa sasa pana kuwa kwa Kasi ya Ajabu. Kwa bei anayouza ya 12M ni halali kabisa.

Mimi niko Block 14, 13 na 15. Na kila Plot yangu Ina ujazo kuanzia Sqmtr 1000. Na hata mtu anipe 40M@ sikotayar kuuza hata Kimoja.
 
Hapo sikumaanisha finyu exact nilitumia kauli hiyo kumkimbia mwenye Kiwanja lengo ilikuwa nikupata Kiwanja kikubwa. Ni kama vile mtu unaenda dukani unauliza bei ya suti kama hujaipenda unajibu salio halitoshi unasepa.
Karibu tufanye biashara.
huo ni utoto ukubwa wa kiwanja umeandikwa katika tangazo lake
 
Jamaa muongo tu! Buyuni naifahamu vizuri sana hakuna hiyo habari ya maghorofa ya kufa mtu sijui VIP watupu! Maji na umeme bado ni issue!

Wewe ndio Muongo, umeme upo na Kuna mtaa karibu na pspf Kuna maghorofa 3. Njoo ukifika talian ni pm nikakuonyeshe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom