Kiwanja chenye HatiMiliki kinauzwa 12.5m tu

screentouch

Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
91
Reaction score
45
Kipo Ilala Buyuni. Kina hatimiliki, bei 12.5milioni, ukubwa 400sqm 20x20. Kipo eneo la biashara ni miongongi mwa vile viwanja vya mradi wa viwanja elfu 20 vya mwaka 2000.

Mtaa wanaishi VIP tupu, mtaa umepangika umejengeka magorofa yakufa mtu. Yaani ukifika pale utapapenda. miundombinu ya umeme na maji tayari manispaa ya Ilala imeshaleta karibu na jamii.

Simu. 0765941752

Karibuni
 
Acha story weka plot no na block. Mimi naishi huko. Tatizo ni umeme
 
Acha majungu nunua kiwanja au acha mkuu Kiwanja kipo pale kwa masister Mimi nilikwenda kukiona sema Salio langu lilikuwa finyu. Kuhusu umeme nimeona nguzo zinasambazwa nazani karibuni kutakuwa tayari.
 
Kipo Jirani na shule ya ma Sister kama unaelekea mbondole NAMBA ya hati mpaka niwasiliane na muuzaji nitaiweka hapa. Karibuni.
 
Mtu mmoja, ID tofauti?

Kipo Ilala Buyuni. Kina hatimiliki, bei 12.5milioni, ukubwa 400sqm 20x20. Kipo eneo la biashara ni miongongi mwa vile viwanja vya mradi wa viwanja elfu 20 vya mwaka 2000.

Mtaa wanaishi VIP tupu, mtaa umepangika umejengeka magorofa yakufa mtu. Yaani ukifika pale utapapenda. miundombinu ya umeme na maji tayari manispaa ya Ilala imeshaleta karibu na jamii.

Simu. 0765941752

Karibuni

Kipo Jirani na shule ya ma Sister kama unaelekea mbondole NAMBA ya hati mpaka niwasiliane na muuzaji nitaiweka hapa. Karibuni.
 
Ni swali tu kama kuna mnunuaji ajue wa kumtafuta...

Karibu tufanye biashara. Pia mimi natafuta Kiwanja kikubwa angalau kiwe 30x40 au hata viwili double. Ukipata mtu anauza niPM namba yake.
 
hicho cha 20x20 kimekushinda, 30x40 utaweza????
cc:, Watu8

Nazani hujaelewa. Hiki cha 20x20 ni kidogo namimi nahitaji kikubwa kutokana na mipango yangu lakini sio kwamba nimeshindwa bei.
 
Last edited by a moderator:
Nazani hujaelewa. Hiki cha 20x20 ni kidogo namimi nahitaji kikubwa kutokana na mipango yangu lakini sio kwamba nimeshindwa bei.
Acha majungu nunua kiwanja au acha mkuu Kiwanja kipo pale kwa masister Mimi nilikwenda kukiona sema Salio langu lilikuwa finyu. Kuhusu umeme nimeona nguzo zinasambazwa nazani karibuni kutakuwa tayari.
Nenda ukawadanganye watoto wenzio
 
Nenda ukawadanganye watoto wenzio
Hapo sikumaanisha finyu exact nilitumia kauli hiyo kumkimbia mwenye Kiwanja lengo ilikuwa nikupata Kiwanja kikubwa. Ni kama vile mtu unaenda dukani unauliza bei ya suti kama hujaipenda unajibu salio halitoshi unasepa.
Karibu tufanye biashara.
 
Hii kauli yakuitana watoto sijui unatoa wapi, au wewe mwanao yupo jf?
 
Nazani hujaelewa. Hiki cha 20x20 ni kidogo namimi nahitaji kikubwa kutokana na mipango yangu lakini sio kwamba nimeshindwa bei.

Acha ubabaishaji wewe NAMTUMBA,at first ulisema kiwanja ulikiona na ni kizuri ila tatizo salio lako lilikuwa finyu...lkn sasa unakuja na hadithi eti unataka 30 x 40. Jipange upya
 
Hiyo kauli naifuta rasimi haikuwa serious.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom