Kiwanja chenye hati kinauzwa longido-arusha

Kiwanja chenye hati kinauzwa longido-arusha

MZALENDOWAKWELIKWELI

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
331
Reaction score
212
KIWANJA CHENYE HATI KINAUZWA...., kina ukubwa wa sq. 1,113 kipo Longido mjini karibu na H/Wilays ya Longido kipo mita chache sana kutoka barabara ya Arusha Namanga, Kimepimwa na Kina Hati. Kinapakana na eneo itakapojengwa Hospitali ya Wilaya. Process za mauziano zitashirikisha Mwanasheria na Afisa Ardhi wa Wilaya aliyeniuzia, ama vile mnunuzi atapendekeza. BEI NI NZURI MNO. SERIOUS BUYERS NI'INBOX





 
Mkuu bado maelezo hayatoshi:

- umeme upo jirani?
- Maji yapo jirani?
- Kiwanja ni chako au wewe ni dalali?
- Katika hilo eneo hakuna mgogoro na wafugaji?
- Bei ni kiasi gani?
 
Mkuu bado maelezo hayatoshi:

- umeme upo jirani?
- Maji yapo jirani?
- Kiwanja ni chako au wewe ni dalali?
- Katika hilo eneo hakuna mgogoro na wafugaji?
- Bei ni kiasi gani?

-Umeme upo.

-Kuhusu maji kuna mradi mkubwa unatekelezwa na H/Wilaya wa kupeleka maji mkandarasi ameshaanza kazi

-Ni kiwanja changu mwenyewe na kinayo hati halisi nitayoikabidhi baada ya mauziano

-Mgogoro halina kwa sababu ni eneo la makazi na limepimwa.

-Kuhusu bei ni maelewano (ni PM), kama unaelewa thamani ya ardhi na jinsi Mji wa Longido unavyokua kwa kasi hatutashindwana.
 
KIWANJA CHENYE HATI KINAUZWA...., kina ukubwa wa sq. 1,113 kipo Longido mjini karibu na H/Wilays ya Longido kipo mita chache sana kutoka barabara ya Arusha Namanga, Kimepimwa na Kina Hati. Kinapakana na eneo itakapojengwa Hospitali ya Wilaya. Process za mauziano zitashirikisha Mwanasheria na Afisa Ardhi wa Wilaya aliyeniuzia, ama vile mnunuzi atapendekeza. BEI NI NZURI MNO. SERIOUS BUYERS NI'INBOX





Weka bei mkuu.
 
Watu wananiuliza kama bado kipo....KIWANJA BADO KIPO, ATAKAYELIPA NDO ATAKICHUKUA, KUONESHA NIA PEKE AKE HAITOSHI...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom