Kiwanja chenye hati kinauzwa arusha

Kiwanja chenye hati kinauzwa arusha

MZALENDOWAKWELIKWELI

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
331
Reaction score
212
KIWANJA CHENYE HATI KINAUZWA....kina ukubwa wa sq. 1,113 sawa na viwanja viwili vya 30 kwa 20; Ni corner plot; kipo Longido mjini karibu na H/Wilays ya Longido kipo mita chache sana kutoka barabara ya Arusha Namanga, Kimepimwa na Kina Hati. Kinapakana na eneo itakapojengwa Hospitali ya Wilaya. Process za mauziano zitashirikisha Mwanasheria na Afisa Ardhi wa Wilaya aliyeniuzia, ama vile mnunuzi atapendekeza. BEI NI NZURI MNO. SERIOUS BUYERS NI'INBOX
 
Back
Top Bottom