Kiwanja chenye hati kinahitajika

Logik

Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
32
Reaction score
4
Habari zenu wadau,

Kuna rafiki yangu m1 anahitaji kununua kiwanja chenye hatii ukubwa angalau 25*35 maeneo ya Tegeta, goba,Bunju, mbweni, mbezi mwisho, kimara, kibamba na kibaha bajeti yake ni Mil 5. mwenye nacho anijulishe ili nimpe mawasiliano na huyo jamaa. Yeye yuko ni mjeda yuko mkoani.

Shukrani
 
Kiwanja chenye hati 5M Dar! ukifanikiwa namimi nijulishe kama vipo vya bei hiyo.
 
 
 
 
Ukipata kilichopimwa achilia kuwa na hati kwa bei ya milioni 5 na mimi unifahamishe nije kukinunua kwa milioni 8 nikupe cha juu maana wewe si utakuwa umenunua kwa shilingi milioni 5 tu
 
 
 
 
Ndugu sahau kiwanja cha hati kwa milioni tano ni ndoto naona aliyekutuma katoka mkoa. Aseme anamilioni 100 tegeta,mbezi,goba,bunju atapata fasta kwingine huko milioni hamsini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…