Kiwanja Chenye hati kinahitajika haraka

Kiwanja Chenye hati kinahitajika haraka

ngivingivi

Senior Member
Joined
Mar 29, 2013
Posts
189
Reaction score
109
Natafuta kiwanja chenye hati maeneo ya kigamboni, kibamba, bunju , boko,kimara. nina 12 mil
 
Kigamboni Vipo viwanja Bima vigezo vyote unavyovitaka ni pm namba yako

Ova
 
Natafuta kiwanja chenye hati maeneo ya kigamboni, kibamba, bunju , boko,kimara. nina 12 mil
Ninacho kiwanja kikubwa 24 X 42m kwa milioni 8 tu!! .Mingoi_Kimere(Ukivuka tu Darala la Mingoi linalotenganisha Dar Esalaam(Bunju Mwisho) ... Nilikuwa na Viwanja Zaidi ya 70 Kwa pamoja Vikiwa kwenye mpagilio mzuri wa plot zenye kuruhusu kila mtu kuwa na barabara ya Kumfikisha Kwake)

Watu wamenunua na Kujenga wanajenga kwa kasi, maji umeme, barabara, vyoote vipo(Maana Njia kuu ya umeme inapita karibu na Plot Zanzgu.

Pia Ninvavyo Viwanja Madale, Kwa Kawawa Na Njia Panda ya Nguzo(Hivi ni 20X 20=na Vingine Vikubwa kidogo..Na Bei ya hivi ni Milioni 13, Mpaka milion 8 inategemea na kiwanja kilivyo).
Karibu Nipigie +255 762 466 293 & +255 784 355 775 MR MBUNGI(Kama unavyo niona kwenye avator)
 
Msalimie sana mzee ndumbati huko

OVA

Vina hati?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom